Minong'ono Mchangani (Whispers in the Sand) ePub (Adobe DRM) download by LaFlorya Gauthier

Minong'ono Mchangani (Whispers in the Sand)

Genesis Press Kiswahili
Publication date: April 2012
ISBN: 9781585716579
Digital Book format: ePub (Adobe DRM)

Buy ePub

List price:
$10.95
Our price:
$8.99

You save: $1.96 (18%)
Kinyume na matarajio ya familia yake, Lorraine Barbette mtengenezaji filamu mzaliwa wa Mississipi anajikuta akivunja uchumba wake namwanaume asiyempenda na kukimbilia mji unaovutia wa Senegal ili kutengeneza filamu halisi ya kiutamaduni . Kisha kijana mtanashati asiye na kifani mwanadiplomasia Momar Diallo anauteka moyo wake. Mwenye msimamo mkali wa kuilinda nchi yake, Momar ana wasiwasi na filamu hiyo lakini anatekwa na hisia kali za mapenzi kwa Loraaine .Kadiri penzi linavyozidi kuwaleta karibu zaidi migongano yao ya kitaaluma nakiutamaduni nayo inazidi kuwatenganisha. Wanaweza kumaliza tofauti hizi kwa kusikiliza sauti za ajabu ambazo zinanong'ona kwenye nyoyo zao na kudai hatma yao ya kuishi pamoja.
Please sign in to review this product.
Devices:
Minong'ono Mchangani (Whispers in the Sand) ePub (Adobe DRM) can be read on any device that can open ePub (Adobe DRM) files.

File Size:
410 Kb
Language:
ENG
Copy From Text:
Disabled.
Printing:
Disabled.